Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Mchinga Ndugu Said Mtanda wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika Kitomanga Mkwajuni jimboni hapo wilaya ya Lindi vijijini.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wa jimbo la Mchinga waliojitokeza kumpokea.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza wimbo maalum wa mapokezi kutoka kikundi cha uhamasishaji cha CCM Mchinga mara baada ya kuwasili Kitomanga Mkwajuni jimbo la Mchinga.
Katibu Mkuu wa CCM akishiriki ujenzi wa ghala la kijiji ambalo litatumika kuhifadhia chakula kwa wakazi wa Kitomanga Mkwajuni
Monday, 17 November 2014
CHADEMA yafunika Mang'ula kwa mkutano wa kihistoria
Na Mohamedi Mtoi
Mwenyekiti Taifa amefanya mikutano mitano kwenye majimbo matatu ya Ulanga Magharibi, Ulanga Mashariki na Kilombero.
AFYA YA JK YAENDELEA KUIMARIKA...!
Hali ya Rais Jakaya Kikwete imeendelea kuwa nzuri baada ya kuruhusiwa hospitalini na kuendelea na mapumziko. Amekuwa akiendelea na mazoezi aliyopangiwa na kufanya kazi mbalimbali za kiofisi.
Siku ya kunawa mikono duniani, siku ya choo duniani na wiki ya usafi wa mazingira nchini (HAND WASHING DAY)
Kibuyu Mchirizi kwa ajili ya kunawa mikono kwa maji safi na salama na sabuni baada ya kutumia choo.
Ofisa Afya wa mkoa wa Iringa Khadija Harouni (kulia) akitoa ufafanuzi kuhusu ziara maalum ya mafunzo katika Shule ya Msingi Nyololo kwa walimu wa shule hiyo pamoja na wataalam kutoka Halmashauri ya Wilaya Mufindi, mkoani Iringa. Shule hii ilichaguliwa kutekeleza kampeni ya kitaifa ya usafi wa mazingira, matumizi ya maji vyooni na afya shuleni (SWASH). (PICHA ZOTE NA FRIDAY SIMBAYA)
Maadhimisho ya wiki ya mlipa kodi
MENEJA wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoani Dodoma Thadeo Kaliza ( katikati) akizindua maadhimisho ya wiki ya mlipa kodi kwa kukata utepe katika viwanja vya TRA Mkoani humo.Kushoto kwake ni Meneja Msaidizi wa Ukaguzi wa TRA Ramadhan Muya na kulia kwake ni Meneja Msaidizi madeni wa TRA Ngaka Magele .Kilele cha maadhimisho hayo ni Novemba 21 mwaka huu.(PICHA NA JOYCE KASIKI)
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...