Thursday, 5 March 2015
AMA KWELI HUJAFA HUJAUMBIKA DUNIA INA MAMBO...!
Unaweza usiamini ila upungufu wa chembe hai nyeupe za damu ( White Blood cells), ambazo huzuia maambukizi na hutumika kama kinga ya mwili dhidi ya maradhi, hali hiyo imesababisha Kijana Dede Koswara ambaye kwasasa ana miaka 36 aliyezaliwa kama binadamu wa kawaida miguu yake na mikono kubadilika na kuwa na maumbo kama ya mti. Uzito sasa unaeleemea mikononi na miguuni hali inayofanya ashindwe kutembea vizuri
Una lipi la kumwambia jamaa. (EATV)
MAKAMBAKO KUMEKUCHA TENA...!
Mkazi wa mji wa Makambako mkoani Njombe ambaye hakufahamika jina lake mara moja akipita karibu na maduka yaliyofungwa kufutia mgomo wa wafanyabiashara unaoendelea mkoani hapa leo asubuhi. Majuzi tena wafanyabiashara hao walifunga maduka yao zaidi saa sita na kwenda mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili mwenzao, Maxson Sanga dhidi ya kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Dkt. Rished Badi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Njombe na leo tena wamefunga maduka yao kwenda kusikiliza kesi inayomkabili mwenyekiti wa wafanyabishara nchini John Minja. (Picha na Friday Simbaya)
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...