Monday, 8 December 2014

Mtaturu: Huwezi kumsafisha mtu wakati mikono yako ni michafu Na Mathias Canal, Mufindi


Mataturu akisisitiza jambo wakati wa mkutano.

Mataturu (kulia akiwanadi wagombea uenyeviti wa mitaa kwenye mkutano uliofanyika mtaa wa Kinyanambo)

Na Mathias Canal, Mufindi
Wakazi wa Mtaa wa Kinyanambo, Kata ya Kinyanambo, Wilayani Mufindi wameaswa kuchagua viongozi watakaowaletea maendeleo katika mitaa yao ili kukabiliana na mabadiliko ya kujitegemea kwa Mamlaka ya mji wa Mafinga.

PINDA APOKEA MABEHEWA MAPYA YA TRL


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe (kulia kwake) na Naibu Waziri  wake, Dr. Charles Tizeba (kulia) kukagua baadhi ya mabehewa mapya ya Shirika la Reli  nchini (TRL) yaliyonunuliwa na kwa fedha za serikali wakati alipokwenda kwenye bandari ya Dar es salaam Desemba 8,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)






Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe wakikagyua moja ya mabehewa mapya ya TRL yaliyonunuliwa  kwa fedha ya serikali wakati alipokwenda  kwenye Bandari ya Dar es salaam Desemba 8, 2014  kupokea mabehewa hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Airtel Introduces Tanzania’s first Home Wi-Fi with Bundle Share


Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali wakifuatilia kwa umakini uzinduzi  wa huduma mpya ya HOME WI-FI itakayowawezesha wateja wa AIRTEL  watumiaji wa INTANETI kufurahia kutumia kifurushi kimoja familia nzima kwa kuwaunganisha na Wi-fi watu 32 ndani ya familia,  na pia kuunganisha wanafamilia wengine wanne waliopo mahali popote nchini.



Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi  wa huduma mpya ya HOME WI-FI itakayowawezesha wateja wake watumiaji INTANETI kufurahia kutumia kifurushi kimoja familia nzima kwa kuwaunganisha na Wi-fi kwenye  smartdevices 32 ndani ya familia na pia kuunganisha wanafamilia wengine wanne waliopo mahali popote nchini Tanzania  kufurahia internet ya 3.75G.  kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Home WiFi,Gaurav Dhingra.

  • Works as a Wi-Fi  at Home to connect up to 32 smart devices
  • Also, works outside Home to provide 3.75G Mobile Internet to up to  4 members in TZ
  • No need of taking out SIM to recharge, any member can recharge all accounts at once
  • 2 attractive offer with up to 120 GB and affordable repeat bundles

Airtel yazindua HOME Wi-Fi, huduma ya Internet kuunganisha familia nzima kwa kifurushi kimoja tu


Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali wakifuatilia kwa umakini uzinduzi  wa huduma mpya ya HOME WI-FI itakayowawezesha wateja wa AIRTEL  watumiaji wa INTANETI kufurahia kutumia kifurushi kimoja familia nzima kwa kuwaunganisha na Wi-fi watu 32 ndani ya familia,  na pia kuunganisha wanafamilia wengine wanne waliopo mahali popote nchini.



Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi  wa huduma mpya ya HOME WI-FI itakayowawezesha wateja wake watumiaji INTANETI kufurahia kutumia kifurushi kimoja familia nzima kwa kuwaunganisha na Wi-fi kwenye  smartdevices 32 ndani ya familia na pia kuunganisha wanafamilia wengine wanne waliopo mahali popote nchini Tanzania  kufurahia internet ya 3.75G.  kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Home WiFi,Gaurav Dhingra.


Meneja Masoko wa Airtel Home WiFi,Gaurav Dhingra (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi  huduma mpya ya HOME WI-FI itakayowawezesha wateja wake watumiaji INTANETI kufurahia kutumia kifurushi kimoja familia nzima kwa kuwaunganisha na Wi-fi watu 32 ndani ya familia na wanafamilia wengine wanne waliopo mahali popote nchini Tanzania  kufurahia internet ya 3.75G.  Kulia ni Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania, Jackson Mmbando na kushoto ni Ofisa Masoko wa Airtel Tanzania,Ndevonaeli Eliakimu.

WIKI YA LALA SALAMA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA (MUFINDI CCM WAZINDUA KAMPENI RASMI)





Katibu wa CCM wilaya ya Mufindi  Miraji Mtaturu akihutubia wakazi wa kijiji cha Ihongole kata ya Boma jana wa katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikaliza mitaa wilaya ya mufindi ambapo alisema CCM katika vijiji 128 CCM imepita bila kupingwa katika vijiji 92 na katika vitongoji 606 CCM imepita bila kupingwa katika vitongoji 78.




Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mufindi Johanes Kaguo (kulia) akimnadi mmoja ya wagombea nafasi mbalimbali katika kijiji cha Ihongole kata ya Boma. Kaguo alisema CCM bado ni chama dume nchini na kupimo ni uchaguzi wa serikali za mitaa ambapo katika vijiji 128 CCM imepita bila kupingwa katika vijiji 92 na katika vitongoji 606 CCM imepita bila kupingwa katika vitongoji 78.


Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahamoud Mgimwa akihutubia wananchi wa Mafinga katika kijiji cha Ihongole, Kata ya Boma wilayani Mufindi, mkoa wa Iringa. Mbunge huyo aliahidi wananchi wa kijiji hicho kuwajengea daraja pamoja na kupeleka vitanda 10 na magodoro katika hospitali ya Mafinga ya wilaya ya Mufindi.

BROADCAST WAREHOUSE YA UINGEREZA KUSAIDIA COMNETA

DSC_0220
Mwenyekiti wa mtandao wa vyombo vya habari vya kijamii Tanzania (COMNETA) ambaye pia ni Mkurugenzi wa redio FADECO ya wilayani Karagwe, Bw. Joseph Sekiku, akimtambulisha mgeni kutoka nchini Uingereza kwa wamiliki wa redio za jamii katika mkutano uliojadili masuala ya kiufundi uliofanyika mwishoni mwa juma Chuo kikuu huria.(Picha zote na Zainul Mzige).

Na Mwandishi wetu

Kampuni Broadcast warehouse ya Uingereza imesema ipo tayari kusaidia radio za jamii ambazo kwa sasa zinakabiliwa na changamoto nyingi za uendeshaji hasa katika masuala ya kiufundi kwenye teknolojia ya utangazaji ya digitali.

MTOTO AOPOLEWA KWENYE DIMBWI LA MAJI




Na Mathias Canal, Mufindi

Mtoto mwenye umri ya miaka 5 afariki dunia kwenye dimbwi la maji machafu karibu na mtaa wa stendi ya mabasi Mafinga, wilayani Mufindi mkoani Iringa.

Mtoto huyo alipotea nyumbani takribani siku 3 zimepita ambapo mama mzazi alitoa taarifa jeshi la polisi liweze kumsaidia lakini juhudi hizo haikuzaa matunda ambapo hii leo amekutwa kwenye dimbwi la maji hayo.

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...