Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mufindi Johanes Kaguo (kulia) akimnadi mmoja ya wagombea nafasi mbalimbali katika kijiji cha Ihongole kata ya Boma. Kaguo alisema CCM bado ni chama dume nchini na kupimo ni uchaguzi wa serikali za mitaa ambapo katika vijiji 128 CCM imepita bila kupingwa katika vijiji 92 na katika vitongoji 606 CCM imepita bila kupingwa katika vitongoji 78.
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahamoud Mgimwa akihutubia wananchi wa Mafinga katika kijiji cha Ihongole, Kata ya Boma wilayani Mufindi, mkoa wa Iringa. Mbunge huyo aliahidi wananchi wa kijiji hicho kuwajengea daraja pamoja na kupeleka vitanda 10 na magodoro katika hospitali ya Mafinga ya wilaya ya Mufindi.
No comments:
Post a Comment