Saturday, 17 January 2015

MATOKEO YA MECHI ZILIZOCHEZWA LEO (EPL)

2012 African Champions

Zambia have completed a successful training day in Ebebiyin Equatorial Guinea. Zambia started the day with a walk around exercise in the small town of Ebebiyin, attracting a lot of onlookers who were looking out for the players that eliminated Equatorial Guinea from the Championships in 2012.

MSIMAMO LIGI DARAJA LA KWANZA TANZANIA BARA

MKUTANO WA TCCIA WA KUPINGA MATUMIZI YA LUMBESA UNAENDELEA MKOANI NJOMBE..!

Mshauri na mratibu wa mkutano wa TCCIA ambaye pia ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Iringa, Profesa Enock Wiketye akiwasilisisha mada kuhusu changamoto mbalimbali zinazowakabili wakulima hasa wale wakulima wadogo wadogo wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi Green City Makambako mkoani Njombe leo.

Wajumbe wakiwa katika vikundi wa jadili mada wakati wa mkutano uliofanyika katika Ukumbi Green City Makambako mkoani Njombe leo.

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...