Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa jumuiya ya Wazazi ya CCM Bwana Abdallah Majura Bulembo wakiingia katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam ambapo alifungua mkutano wa Makatibu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Mkoa na Wilaya leo Septemba 3, 2015. Katika tukio linguine, Rais pia alikutana na ujumbe wa bunge la Burundi ukiongozwa na Spika wa bunge hilo Mhe. Paschal Nyabenda na naibu Spika Agaton Rwassa Ikulu jijini Dar es Salaam
Thursday, 3 September 2015
LOWASSA, MBOWE WAANZA KUPASUA ANGA KWA CHOPA, MPANDA
Kwa mara ya kwanza tangu mgombea wa kiti cha rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia CHADEMA, akiwakilisha vyama vya UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akifuatana na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, wameanza kuruka kwa chopa "kushambulia' mikoa ya Magharibi ambapo leo Septemba 3, 2015, wametua Mpanda, mkoani Katavi na kuhutubia mkutano mkubwa wa kampeni kwenye shule ya msingi Shule ya Msingi Kashaulili
CHOPA, ilioyowachukua Mh. Lowassa, na Mwenyekiti Mbowe, ikiruka baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni
Mmoja wa wananchi akibebwa baada ya kuzirai kutokana na msongamano katika mkutano wa kampeni za mgombea urais, Edward Lowassa, kwenye Uwanja wa Kashauriri Mjini Mpanda mkoani Katavi
Mgombea Mwenza CCM Mama Samia Suluhu Apiga Kampeni ya Nguvu Temeke Jijini Dar es Salaam
Mgomea Mwenza wa Urasi kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni aliofanya leo katika Kata ya Buza, jimbo la jijini Dar es Salaam. Picha na Bashir Nkoromo
Dr. Sarah:Inadequate information on access to cervical cancer screening and treatment services hinders mitigation
By Friday Simbaya, Iringa
The Director of Health Promotion of Women and Development Foundation (WAMA) Dr. Sarah Maongezi under the leadership of its Chairperson Mama Salma Kikwete said one of the biggest challenges of fighting against cervical cancer in the country is inadequate information to women on access to cervical cancer screening and treatment services.
Dr. Sarah made the statement yesterday during the ongoing three-day Regional Health Management Team (RHMT) and Council Health Management Team (CHMT) Follow-Up Advocacy meeting on cervical cancer in Iringa Region.
The RHMT and CHMT Follow-Up advocacy meeting on cervical cancer was officially opened by the Regional Medical Officer (RMO), Dr. Robert Salum on behalf of the Regional Administrative Secretary (RAS), Wamoja Ayubu.
She mentioned that some of the factors that are hindering the access and uptake of screening services include inadequate information on access to cervical cancer screening and treatment services and inadequate diagnostic facilities and weak referral system.
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...