Wednesday, 21 March 2018

STELLA MANYANYA ATEMBELEA KIWANDA CHA ROCKS WILAYANI KILOLO








baadhi ya wananchi wa kijiji cha iyayi katika ya image wilayani kilolo, mkoani iringa wakimsikiliza naibu waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji mhandisi stella manyanya (hayupo pichani). kijin hicho kipo karibu na kiwanda cha maji cha imgae.


 







Naibu wa waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji Eng. Stella Manyanya akiongea na wafanyabiashara wa mkoa wa Iringa leo katika mwendelezo wa ziara yake ya kukagua viwanda nchini.

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...