Mwakilishi wa Balozi wa Finland nchini Tanzania, Mikko Leppanen na Naibu wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahmoud Mgimwa (MB) wakizindua rasmi kwa pamoja programu ya panda miti kiabiashara mjini Njombe. (Picha na Friday Simbaya)
Na
Friday Simbaya, NJOMBE
Mwakilishi
wa Balozi wa Finland nchini Tanzania, Mikko Leppanen aliwatoa wasiwasi wananchi
wanaoishi karibu na maeneo ya kupanda miti katika nyanda za juu kusini kutoogopa
kuhusu kupoteza ardhi yao ya kilimo kwa kupanda miti.