Tuesday, 2 September 2014
SEMINA YA LUGHA YA ALAMA
ALPHABETI ZA LUGHA YA ALAMA TANZANIA
Mkufunzi
wa lugha ya alama Simon Mgaya akiendesha semina ya lugha ya alama kwa
washiriki wa mafunzo ya siku sita ya mchezo wa mpira wa mikono
yanayoendelea kufanyika katika chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa (MUCE)
yanayoendeshwa na shirika lisilo la kiserikali la CSPD kwa kushirikiana
na chama cha mpira wa mikono (TAHA) leo. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...