Tuesday, 2 September 2014

SEMINA YA LUGHA YA ALAMA

sign2_f9e98.jpg
ALPHABETI ZA LUGHA  YA ALAMA TANZANIA
ticha_31875.jpg
Mkufunzi wa lugha ya alama Simon Mgaya akiendesha semina ya lugha ya alama kwa washiriki wa mafunzo ya siku sita ya mchezo wa mpira wa mikono yanayoendelea kufanyika katika chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa (MUCE) yanayoendeshwa na shirika lisilo la kiserikali la CSPD kwa kushirikiana na chama cha mpira wa mikono (TAHA) leo. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)


ticha3_e519b.jpgsign_b8eba.jpg
Darasa linaendelea.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...