Kikundi cha ngoma ya kibati kikitumbuiza Uwanja wa Ndege wa Pemba wakati wa mapokezi ya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA waliofanya ziara ya siku moja kisiwani humo kwa lengo la kumtambulisha Naibu Katibu Mkuu wa Chama Zanzibar, Salum Mwalimu.
Thursday, 16 October 2014
Vijiji 1,800 kupata mawasiliano ya simu, internet mwakani
Dar es Salaam. Jumla ya vijiji 1,800 vinatarajia kupatiwa mawasiliano ya simu ya na teknolojia ya mawasiliano ya habari na mawasiliano (Tehama ) ifikapo mwakani.
Akizungumza katika ufunguzi wa mkutano wa wadau wa Tehama wa Africa (Capacity Africa), Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia January Makamba alisema kuwa mpango huo upo katika hatua za mwisho na ifikapo mwaka 2017, jumla ya vijiji 4,000 zitakuwa vimepatiwa huduma hiyo.
Tanzania yawapa uraia wakimbizi
Nchini Tanzania hatimaye Serikali ya Tanzania hapo ilitoa vyeti vya uraia kwa waliokuwa wakimbizi wa zamani wa Burundi zaidi ya laki moja na elfu sitini na mbili ambao wamekuwa wakiishi kwa zaidi ya miaka arobaini kama wakimbizi,hatua inayoelezwa kuwa haijawahi kufanywa na nchi yoyote Duniani.
Nigeria yaibwaga Zambia yaingia nusu fainali
Kikosi cha Nigeria -wanawake
Nchini Tanzania hatimaye Serikali ya Tanzania hapo ilitoa vyeti vya uraia kwa waliokuwa wakimbizi wa zamani wa Burundi zaidi ya laki moja na elfu sitini na mbili ambao wamekuwa wakiishi kwa zaidi ya miaka arobaini kama wakimbizi,hatua inayoelezwa kuwa haijawahi kufanywa na nchi yoyote Duniani.
JK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM kwenye ukumbi wa NEC,CCM Makao Makuu Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma taarifa fupi ya ufunguzi wa kikao kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma.
Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Bi.Zakia Meghji akizungumza na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib wakibadilishana mawazo muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa mjini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Mwigulu Nchemba akizungumza na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye katika ukumbi wa NEC kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma.

Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
Habari ndugu msomaji wetu wa blog, Natumaini unaendelea vyema. Leo tutaanza kujifunza kilimo cha bora cha nyanya, na tutaanza kufahamu vit...