Tuesday, 21 October 2014

I reached the summit of Mt. Kilimanjaro...!


On October 16th, I reached the summit of Mt. Kilimanjaro, the highest peak in Africa at 19,341ft (5,895m). It was by far the hardest and greatest accomplishment I've ever achieved, and none of it would have been possible without my dad, John Connell, the best hiking partner I could ever ask for and an inspiration to everyone he meets. 
 
Kama simba na kifaru, sisi tuna nguvu sana na tunaweza kufanya kitu chochote.

WAZIRI MKUU PINDA AMWAKILISHA KIKWETE KWENYE MJADALA WA UWEKEZAJI AFRIKA- LONDON

Naibu Mawaziri, Charles Kitwanga wa Nishati na Madini (kushoto), Dkt. Charles Tizeba wa Uchukuzi (katikati ) na Mahadhi Maalim wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye mjadala kuhusu fursa za uwekezaji barani Afrika kwenye hoteli ya Savoy , London, Oktoba 201014. 
 
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza kwenye mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji  barani Afrika kwenye hoteli ya Savoyy , London, Oktoba 201014.Wengine pichani ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda Rais wa Gahana,John Mahama na Rais wa Rwanda Paul Kagame.

 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabit Mwambungu (kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallage  Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji  barani Afrika kwenye hoteli ya Savoy , London, Oktoba 201014.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Rais wa Zamani wa Nigeria na Mwenyekiti wa mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji  barani Afrika, Olusegun Obasanjo (kushoto) baada ya kuzungumza  katika mjadala huo  kwenye hoteli ya Savoy , London, Oktoba 201014. wengine pichani kutoka kushoto ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais John  Mahama wa Gahana na Rais Paul Kagame wa Rwanda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Magazeti Jumanne

1_5bb3e.jpg
2_2459f.jpg
3_62afc.jpg
4_b1dfc.jpg
5_90e0d.jpg

OFISI YA WAZIRI MKUU YAFANYA TATHIMINI YA HALI YA CHAKULA NA LISHE MKOANI SIMIYU

Bw. Clement Ngosha wa kijijini Kabita Wilayani Busega, Simiyu, akitumia mbegu za mahindi kueleza hali ya chakula kijijini hapo kwa wataalam wa Tathmini ya Hali ya Chakula na Lishe inayofanywa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Oktoba, 2014.

Mtaalam wa Usalama wa chakula kutoka Wizara ya kilimo, chakula na Ushirika, Bi. Tatu Kayumbu akiihoji moja ya kaya kijijini Mwamanyili,Wilayani Busega, Simiyu wakati wa Tathmini ya Hali ya Chakula na Lishe inayofanywa na Ofisi ya Waziri Mkuu kijijini hapo, Oktoba, 2014.





WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...