Saturday, 25 October 2014
CCM JIMBO LA IRINGA MJINI CHA VUNA WANACHAMA WAPYA ZAIDI
Katibu wa CCM Mufindi Miraji Mataturu (kulia), akiwaapisha wanachama wapya baada ya kuwakabidhi kadi wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika stendi ya mabasi Mlandege leo, zaidi ya wanachama 100 wapya wajiunga na chama hicho na kukabidhiwa kadi.
WAHITIMU 2228 WA CHUO KIKUU CHA IRINGA WATUNUKIWA VYETI...!
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani, akivunja mahafali ya kwanza katika mwaka wa masomo 2013/2014 ambapo jumla ya wanafunzi 2228 wamehitimu. Kulia ni Makamu Mkuu wa Mhuo Prof. Nicholas Bangu kwenye mahafali hayo.
chuo kikuu cha iringa
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Christine Ishengoma na waziri mstaafu wa Elimu Joseph Mungai wakifuatilia mahafali leo.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani akimtunuku Shahada ya Uzamili ya Utawala na Biashara (Master in Business Administration in Entrepreneurship and Marketing) Patrock Tenywa ambaye pia ni mfanyakazi wa Ikolo Investment (KwanzaJamii Radio/Mjengwablog.com) katika mahafali ya kwanza ya chuo hicho leo (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Mpanda wakamilika
Meneja wa Uwanja wa ndege wa Mpanda, Mkoa wa Katavi Seneti Lyatuu akiwaonesha timu ya ukaguzi wa miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mpanda. Nyuma yake (mwenye suti nyeusi) ni Mhandisi Caroline Mntambo kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndenge Tanzania, Makao Makuu, Dar es Salaam.
Meneja wa Uwanja wa Ndege wa Mpanda Bw. Seneti Lyatuu akifafanua jambo wakati timu ya ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango walipotembelea kiwanja hicho.
Barabara ya kutua na kurukia ndege katika uwanja wa ndege wa Mpanda, mkoani Katavi.
Na Mwandishi wetu, Mpanda
Serikali imekamilisha ukarabati na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mpanda, mkoa wa Katavi na hivyo kuufanya uwe wa kiwango kizuri tayari kwa kutumika kwa ndege za binafsi na biashara.
Meneja wa Uwanja wa Ndege wa Mpanda, Bw Seneti Lyatuu alisema uwanja huo umeboreshwa na hivyo, unaweza kutumika kutua na kuruka ndege za kiwango cha kati na hata zile ndege kubwa zinaweza kutua kwa dharura.
SERIKALI YAWEKA TARATIBU ZA KUZINGATIA ILI KUHAKIKISHA KUNAKUWA NA WAMILIKI HALALI WA LAINI ZA SIMU
Meneja mawasiliano wa TCRA, Innocent Mungy
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Mwanadamu ameumbwa na kuzaliwa akiwa na asili ya kuwa na uwezo na upeo unaomuwezesha kuwasiliana baina ya mtu na mtu kunzia ngazi ya familia, jamii inayomzunguka, taifa na hatimaye ulimwengu mzima.
Akiwa na mamlaka ya kutumia mawasiliano katika maisha yake ya kila siku, mwanadamu anayatumia mawasiliano hayo kama mchakato wa kuhamisha na kupashana taarifa ama habari kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa nyakati tofauti tofauti.
Uboreshaji wa Daftari kuanza
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), pia na Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar, Hamid Mahamoud Hamid (kushoto) akitoa ufafanuzi baada kusoma taarifa kuhusu kuanza kwa shughuli za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo jijini Dares Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa NEC. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Julius Malaba.
Baadhi ya Watendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na waandishi wa habari kuhusu taarifa kuhusu kuanza kwa shughuli za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana jijini Dares Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa NEC.Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Julias Malaba. icha zote na Magreth Kinabo- Maelezo.
mwanamke aiba mtoto
JESHI la polisi mkoani Rukwa linamshikilia mwanamke mmoja aitwaye Magreth Juma (34)mkazi wa mtaa wa chanji katika manispaa ya sumbawanga kwa tuhuma za wizi wa mtoto mchanga mwenye umri wa siku mbili.
Acting Republican President Lungu leads in celebrating golden jubilee
ACTING Republican President Edgar Lungu yesterday led hundreds of patriotic Zambians and former Republican Presidents at the freedom statue in laying wreaths in remembrance of all fallen heroes.
Mr. Lungu who first layed the wreath at the Statue later saw First republican president Dr. Kenneth Kaunda to lay his wreath followed by his fourth republican counterpart, Rupiah Banda.
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...