Thursday, 20 November 2014

HATARIIIIIIIIIIII...!


Wanafunzi wa shule ya msingi Jitegemee Manispaa ya Iringa wakiwa wamesima karibu na mzoga wa mbwa na ukuuchezea katika mtaa wa Beira eneo la kijiweni  leo bila kujali afya zao. Mbwa huyo alitupwa jalalani karibu na nyumba ya mwenyekiti wa mtaa wa beira bila kuzikwa ambapo kiafya ni hatari kama walivyokutwa watoto wadogo  hao wakiacha masomo na kwenda kuchezea mzoga huo, noma sana! (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)

MKUU WA MKOA IRINGA AKABIDHI MABATI 371 KWA HALMASHAURI





Mkuu wa Mkoa  wa Iringa ametoa mchango wa mabati 371 kwa halmashauri za wilaya ya Iringa kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara kwa baadhi ya shule za serikali za kata.

TRA IRINGA KUFUATILIA MATUMIZI YA MASHINE ZA EFD

Meneja wa TRA Mkoa wa Iringa, Rosalia Mwenda
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Iringa itaendelea kufuatilia kwa karibu matumizi ya mashine za kielektoniki za kutolea risiti kwa wafanyabiashara wa mkoani hapa wanaotakiwa kwa mujibu wa sheria kutumia mashine hizo.

MAGAZETI LEO ALHAMISI






WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...