Thursday, 20 November 2014

HATARIIIIIIIIIIII...!


Wanafunzi wa shule ya msingi Jitegemee Manispaa ya Iringa wakiwa wamesima karibu na mzoga wa mbwa na ukuuchezea katika mtaa wa Beira eneo la kijiweni  leo bila kujali afya zao. Mbwa huyo alitupwa jalalani karibu na nyumba ya mwenyekiti wa mtaa wa beira bila kuzikwa ambapo kiafya ni hatari kama walivyokutwa watoto wadogo  hao wakiacha masomo na kwenda kuchezea mzoga huo, noma sana! (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...