Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akipitia kijarida cha maelezo kazi zinazofanywa na taasisi inayoshughulikia na utetezi wa watoto njiti ya Doris Mollel ambaye pia ni Miss Singida Kanda ya Kati 2014/15. Kulia ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Doris Mollel wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa taasisi hiyo uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Tuesday, 24 March 2015
WALIONG’ARA RED CARPET KWENYE SHEREHE YA SIKU YA WANAWAKE ZANZIBAR
Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali kwenye red carpet wakati wa sherehe ya siku ya wanawake duniani iliyowakutanisha wanawake kutoka kila kona ya visiwani Zanzibar ambayo iliandaliwa na Kikundi cha Wanawake cha Zanzibalicious na kufanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya hoteli ya Bwawani.
Mbunifu wa mavazi kutoka bara Mama wa mitindo Asia Idarous (kushoto) akipozi na mbunifu wa mavazi kutoka visiwani Zanzibar Matilda Ishungisa wa Malty design.
Makamu mwenyekiti wa kikundi cha Wanawake wa Zanzibalicious, Zaning'ha Otembo.
Mwenyekiti wa kikundi cha Wanawake wa Zanzibalicious Bi. Evelyne Wilson.
Naibu Waziri wa Viwanda Biashara na Masoko serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe Thuwaiba Kisasi.
Wanaume nao hawakubaki nyuma kutoa sapoti kwa wanawake.
Mama wa mitindo Asia Idarous aking'ara kwenye red carpet.
Kutoka kushoto ni Make up artist Sada, Mama wa mitindo Asia Idarous na MC wa sherehe ya siku ya wanawake duniani visiwani Zanzibar, Mishi Bomba ambaye pia ni mtangazaji wa Magic FM.
PICHA KUTOKA ARUSHA
Mr Bernard James Tanzania, Dar es Salaam Mwananchi Communications Limited (katika) wakibadilishana uzoefu na Friday Simbaya wakati mafunzo jijini Arusha. Kushoto ni Seif Mangwangi Tanzania, Arusha Jamboleo & Habari Leo Newspapers
Kutoka kushoto ni Friday Simbaya Tanzania, Iringa region the Guardian Ltd, Jacqueline Opar Kenya, Nairobi RADIO WAUMINI na Zulfa Musa Tanzania, Arusha Mwananchi Communications.
(L-R)Friday Simbaya Tanzania, Iringa region the Guardian Ltd na Herbert Moyo Zimbabwe, Harare The Independent.
BREAKING NEWS.. POLISI WAOKOTA MWILI KWENYE MTARO ARUSHA
Mwili wa marehemu wakutwa mtaroni, mtaa wa CCM, karibu na jengo la CCM Mkoa barabara ya
makongoro, mjini Arusha. Mpaka sasa haujajulikana ni jinsia gani, kutokana na
kuharibika, kwa mujibu wa wakazi wa maeneo wanasema umeshindwa kutambulika
kutokana na kukaa kwa muda mrefu ambako zaidi ya Siku NNE (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA).
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...