Saturday, 23 October 2010

MKUTANO WA DHARULA WA IPC

 Mwenyekiti ya Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa (IPC), Bw. Kenneth Simbaya (katikati) akiongea na wajumbe walifika katika mkutano mkuu wa dharula ambapo pamoja na mambo mengine walitoa taarifa ya mapato  kwa kipindi cha miaka miwili (2008/2009 na 2009/2010 hadi 2010) ya IPC  uliyofanyika Jumamosi. Kushoto ni Mweka Hazina wa IPC Bw. Selemani Bokhe and kulia ni Katibu Mtendaji wa Klabu hiyo Bw. Frank Leonard.


Baadha ya wanachama waliohudhulia mkutano wa dharula wakifuatilia mkutano kwa makini.

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...