Sunday, 24 July 2011

KIJIJI CHA MAPOSENI - MKOA WA RUVUMA

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, huyu ni Prisca Nguruwe (10) wa Darasa la 4 katika Shule ya Msingi Namakinga, Kata ya Maposeni Wilayani Songea Mkoani Ruvuma akiwasadia wazazi wake kupukuchua mahindi kwa kupiga kwenye mfuko.


Mwenyekiti Deo J. Komba wa Kijiji cha Maposeni wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma akimuonesha mwandishi ndama wake alipotembelea kijiji hicho Jumapili. Kijiji kilianzishwa mwaka 1974 wakati wa opresheni sogeza na kina wakazi zaidi ya 2,280 kutokana Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2000.


Wakazi wa Mtaa wa Ujamaa katika Kijiji cha Maposeni, wilayani Songea mkoani Ruvuma wakiwa wamepumzika kwenye kivuli baada mwendo mrefu kutoka kuvuna mahindi huku wakiwa wamepanda kwenye mkokoteni unaovutwa na Punda.


Watoto wa kifurahia mavuno mazuri katika Kijiji cha Maposeni

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...