Wednesday, 4 August 2010

MAFUNZO YA MEDIA ELECTION TRAINING COURSE

Waandishi wa habari kutoka mikoa ya Iringa, Rukwa na wenyeji mbeya katika discusion wakati wa mafunzo ya siku tatu ya namna ya kuripoti uchaguzi mwaka huu 2010, jijini Mbeya leo.

MKUTANO WA CHADEMA JIJINI MBEYA

Mtoto ambaye akufahamika jina lake mara moja akiruka kutoka juu huku Mkutano ikiendele wa Mgombea urais kuptia CHADEMA, Dkt Wilbroad Slaa katika viwanja Lunada-Nzovwe jijini Mbeya jana.Umati wa watu ukifuatilia mkutano wa adhala wa CHADEMA wakati mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Dkt. Slaa kwa lenga la kuomba udhamini na ridhaa ya gombea urais Tanzania Bara jijini Mbeya jana

NATIONAL TROPHIES IN TANZANIA

Friday Simbaya with the beautiful animals that are found in Ruaha National Park and national parks in Tanzania.

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...