Sunday, 13 November 2011

BREAKING NEWS....


Mheshimiwa Rais, baada ya  jana kutuzindulia mradi wa umeme wa maji pale Mawengi wilayani Ludewa,   wa vijiji 15.  Kazi ya ujenzi wa mradi huu ilianzishwa  rasmi na Mhesh.Peter Pinda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  kwa kuwakilishwa na Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mheshimiwa Mark Mwandosya, Novemba 4, 2008. Na baada ya kukamilika, mradi huu uliozinduliwa na Waziri Mkuu, sasa unazinduliwa rasmi kwa matumizi ya wananchi na Mhesh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. atazindua leo mchana mradi wa maji safi na salama ujulikanao kwa jina “TOVE-MTWANGO”. Tove ni jina la kijiji cha kwanza unakoanzia mradi. Mtwango ni kijiji cha mwisho, ndipo hapa tulipo. Mradi huu unawanufaisha wananchi wasiopungua 45,000.

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...