Wednesday, 18 March 2015

MANISPAA YA TAKA KILA KONA...!

Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Manispaa ya Iringa walalamikia mamlaka zinazohusika na uzoaji taka kwa kutozoa taka kwa muda mrefu kunako hatarisha afya zao wafanyabiashara kama zilivyokutwa na mpigacha wetu.

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...