Saturday, 28 March 2015

BIASHARA YA MAJI IMESHAMIRI SAME...!


Wakina ambao hawakufahamika majina yao mara moja wakisubiri wateja wa kununua maji ambapo dumu moja la maji uuzwa kati ya shilingi 200 hadi 400 katika stendi ya basi wilayani Same, mkoani Kilimanjaro kama walivyokutwa na mtandao wetu, na wateja wao wakubwa ni madereva wa malori na wafanyabisha wa chakula. 




POLICE CHECKPOINT YA TUKUTANE HOYEEE!!



Polisi wa checkpoint ya eneo la Tukutane wilayani Same mkoani Kilimanjaro wakimkagua dereva wa Basi la Sai Baba Express ambaye hakufahamika jina lake mara moja leo mchana. Nimependa kazi yao kwa kweli wanafanya vizuri kwa kuhakikisha mabasi hayazidishi abiria, dereva kama hajavaa sare na kuhakikisha abiria wamefunga mikanda. Hongereni sana kwa kazi nzuri niona kwa macho yangu.

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...