Saturday, 30 October 2010

KAMPENI YA MWISHO YA DR. SLAA JIJINI MBEYA


Aliyekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Goodluck Haule, akimakabidhi moja ya mavazi ya chama hicho mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kukihama na kujiunga na Chadema.


Mgombea Urasi kupitia tiketi ya CHADEMA Dr. Wilibrod Slaa akisindikiswa na umati mkubwa wa wafuasi na mashabiki wa chama hicho jijini Mbeya bada ya kuitimisha kampeni zake za uchaguzi leo jijini hapa.

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...