Friday, 11 September 2015

MAADHIMISHO YA SIKU YA BIOGESI KATAIFA YAFANA NJOMBE


Mfugaji wa Kitongoji cha Lunyunyu katika Halmashauri ya Mji Njombe, Isaya Mlelwa (kulia) akionesha chakula cha kuku kinachozalishwa kutokana na tope chujio (bio-slurry) kwa kamati ya kitaifa ya biogesi pamoja na wataalamu kutoka Wilaya ya Njome, walipotembea mfugaji huyo anayetumia mtambo wa biogesi.

Mwandishi wa habari Friday Simbaya akionesha mboga za maji iliyozalishwa kwa kutumia mbolea hai (bio slurry) kwa kutumia kilimo hifadhi (conservation agriculture) katika kitongo cha Lunyunyu kijiji cha Magoda katika halmashauri ya mji wa Njombe jana.



Mwandishi wa habari Friday Simbaya akikoroga kinyesi cha ng'ombe kwa ajili ya kuzalisha biogesi walitembe kijiji cha Ibumila.


Mfugaji na mkulima wa kijiji cha Ibumila kata ya Kichiwa wilayani Njombe Huruma Mhapa (kulia) akielezea namna alivyo nufaika na matumizi ya biogesi kwa kutumia samadi alipotembelewa na kamati ya uhamasishaji wa matumizi ya biogesi (NBSC) pamoja wataalum kutoka Programu ya uenezi wa mitambo ya biogesi ngazi ya kaya (TDBP).  Maadhimisho biogesi kitaifa yalifanyika katika Kitongoji cha Lunyunyu, Halmashauri ya Mji Njombe mkoani Njombe hapo tarehe 10.09.2015. (Picha na Friday Simbaya)











WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...