Thursday, 15 March 2018

DC KILOLO AWAKUTANISHA WAJASIRIAMALI...



Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Asia Abdallah akifungua mafunzo ya ujasiriamali ya bure kwa wananchi wa Ilula na maeneo ya jirani kupitia taasisi ya Tanzania Encompass for Development Organization (TAEDO) leo, mafunzo yanayotelewa ni kilimo, ufugaji na utengenazaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani. Mafunzo hayo yanafanyika katika ukumbi wa Johannes Mhanga Ilulamtua. (Picha na Friday Simbaya)




Hadija Jabir mkufunzi
Kenani Kihongosi mkufunzi
Abel Mwakasonda kutoka shirika la viwango Tanzania (TBS)
James Sizya kutoka TCCIA Iringa

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...