Friday, 17 February 2017
UNDP WAKUTANA NA WANAFUNZI WA SHULE YA WASICHANA ...
Mwakilishi wa Mashirika ya Kimataifa nchini na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Alavaro Rodriguez (katikati) akiwa ameongozana na Mkurugenzi anayesimamia Mashirika ya Umoja wa Mataifa ,Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ,Balozi Celestine Mushi (kushoto) na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru ya mkoani Kilimanjaro,Rosalia Flavian wakiingia katika ukumbi wa shule hiyo kwa ajili kongamano.
Wanafunzi wa kidato cha Tano na Sita pamoja na wageni wakiimba wimbo kabla ya kuanza kwa kongamano hilo lililolenga kuzungumzia juu ya Malengo ya Maendeleo endelevu .
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru ,Rosalia Flavian akizungumza wakati wa Kongamano hilo.
Baadhi ya Walimu katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Weruweru wakifuatilia maelezo ya awali yaliyotolewa na Mkuu wa Shule hiyo.
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Weruweru akiteta jambo na Mwakilishi wa Mashirika ya Kimataifa nchini na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Alavaro Rodriguez.
Mwakilishi wa Mashirika ya Kimataifa nchini na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Alavaro Rodriguez akizunguza katika Kongamano hilo.
Mtaalamu wa Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania ,Hoyce Temu akizungumza katika kongmano hilo.
Mkurugenzi anayesimamia Mashirika ya Umoja wa Mataifa ,Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ,Balozi Celestine Mushi akitoa mada kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru juu ya Malengo ya Maendeleo Endelevu .
Baadhi ya Wananfunzi wa Shule ya Sekondari ,Weruweru wakiwa wameshikilia vibao vinavyoonesha baadhi ya malengo mapya ya maendeleo endelevu wakati Balozi Mushi akiwasilisha mada .
Balozi Mushi akionesha Malengo mapya 17 ya Maendeleo Endelevu kwa wananfunzi wa Shule ya sekondari Weruweru wakati akiwasilisha mada.
Balozi Mushi akitoa zawadi ya Pesa kwa wanafunzi wawili wa kidato cha Tano na Sita katika shule ya sekondari ya Wasichana ya Weruweru baada ya kuuliza na kujibu vyema maswali .
Mwakilishi wa Mashirika ya Kimataifa nchini na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Alavaro Rodriguezakiwa katika picha ya pamoja na walimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru pamoja na wafanyakazi wengine wa Serikali.
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...