Residents of Dar es Salaam were enjoying a ride on the MV Magogoni in the Indian Ocean during the weekend going to Kigamboni.
Tuesday, 14 September 2010
MAMBO YA PWANI
Residents of Dar es Salaam were enjoying a ride on the MV Magogoni in the Indian Ocean during the weekend going to Kigamboni.
USAILI WAANDISHI MATUMBO JOTO
Waandishi wa habari wakijisomea vijarida mbalimbali katika Ofisi ya Waandishi Mazingira (JET) jijini Dar es Salaam walipokuwa wakisubiri kuingia kwnye usaili ofisi hapa kwa ajili ya 'Exchange Programme' katika nchi za Ethiopia, Kenya, Uganda na Malawi jana.
MVULANA MPIKA VITUMBUA
UGUMU wa maisha na umaskini wa wazazi wa Adam Mussa (18) wampelekea kuwa mjasliamali wa kupika vitumbua Barabara ya Kawawa Kituo cha Moroco jijini Dar es Salaam.
ADHA YA USAFIRI DAR
ADHA ya usafiri Dar es Salaam wanafunzi hawathaminiwi hii ilidhihirika jana katika Kituo cha daladala Mtoni Mtongani ambapo mwanafunzi huyu katika picha (watatu kutoka kulia) akionekana kushangaa wakati watu wazima wakigombea usafiri.
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...