Thursday, 10 October 2013

RPC RUVUMA AZINDUWA KIKOSI KAZI (TASK FORCE) YA POLISI JAMII NGAZI YA TARAFA


RPC Mkoa wa Ruvuma ACP Deosdeusdit Nsimike (wa nne kutoka kushoto) akiwasili katika viwanja vya Polisi Peramiho wilayani Songea, Mkoa wa Ruvua jana kwa ajili ya uzinduzi wa taskforce ulinzi shirikishi katika tarafa ya Ruvuma, ambapo ameahidi kupeleka askari 15 kila tarafa  mkoa wa Ruvuma ili kuimarisha usalama katika mkoa.
RPC Mkoa wa Ruvuma ACP Deosdeusdit Nsimike akisaini kitabu cha wageni







ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...