RPC Mkoa wa Ruvuma ACP Deosdeusdit Nsimike (wa nne kutoka kushoto) akiwasili katika viwanja vya Polisi Peramiho wilayani Songea, Mkoa wa Ruvua jana kwa ajili ya uzinduzi wa taskforce ulinzi shirikishi katika tarafa ya Ruvuma, ambapo ameahidi kupeleka askari 15 kila tarafa mkoa wa Ruvuma ili kuimarisha usalama katika mkoa.
RPC Mkoa wa Ruvuma ACP Deosdeusdit Nsimike akisaini kitabu cha wageni
No comments:
Post a Comment