Thursday, 16 July 2015
MAKUSANYO YA MAPATO WILAYA YA MUFINDI YAONGEZEKA
Na Friday Simbaya, Mufindi
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mufindi, Saada Malunde amesema makusanyo ya mapato yameongezeka kutoka zaidi ya shilingi bilioni 2,192,830,130/- mwaka 2010/2011 na kufikia zaidi ya shilingi bilioni 4,146,583,199/- mwaka 2014/2015.
Mkurugenzi Mtendaji huyo alitoa taarifa hiyo hivi karibuni baada ya kuvunjwa rasmi Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi lililodumu kwa muda wa miaka mitano na kuoanisha mafanikio kadhaa yaliyofikiwa tangu kuundwa kwake mnamo mwaka 2010.
MUFINDI DISTRICT REVENUE RISES
THE Mufindi District Executive Director (DED), Saada Malunde said revenue has significantly
increased from over 2,192,830,130/- billion in 2010/2011 to over 4,146,583,199/-
billion in 2014/2015.
The DED of Mufindi District Council (MDC) has issued the statement soon after the dissolution of the House of Councillors officially, which lasted for five years and mentioned several successful harmonizations achieved since its creation in 2010.
Malunde was presenting reports of the success of her district council during the dissolution of the Mufindi Full Council (Baraza la Madiwani), and cited some of these achievements that have included the establishment of the Mafinga Town Council (MTC) and also the increased revenue collection from more than 2,192 830,130 / - billion in 2010/2011 to reach more than a billion shillings 4,146,583,199/ - in 2014/2015.
She said that the goal of the district council in secondary schools was to ensure all students entering secondary education qualify to Form Four (IV) successfully.
"We have achieved in the year 2014/2015 as a number of secondary schools has increased from 18 up to 57 schools 2015, and the number of students entering Form One has grown from 2,880 in 2010 to reach 4926 in 2015. Also the number of teachers in secondary schools has increased from 81 in 2010 to reach 887 teachers, including 586 men and 301 women in 2015, "said Malunde.
She said that the council is linked to the national grid and be sure the electricity which is generated by hydro water power in the financial year 2014/2015.
Adding that 13 villages and one neighborhood (kitongoji) benefit from the electricity produced by the private company called "Mwenga Hydro Power" in the Ihanu Ward.
In addition, the project plans to increase access to electricity in 18 villages of the Kibengu Division.
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Dk Yahaya Msigwa ajitosa ubunge Iringa mjini
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Dk. Yahaya Msigwa akitoa ada ya shilingi laki moja kwa ajili ya fomu ya kugombea ubunge kupitia tiketi ya CCM katika Jimbo la Iringa Mjini. (Picha na Friday Simbaya)
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Dk. Yahaya Msigwa akikabidhiwa fomu ya kugombea ubunge kupitia tiketi ya CCM katika Jimbo la Iringa Mjini. (Picha na Friday Simbaya)
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Dk. Yahaya Msigwa akiongea na wanachama kwa kuwaelezea nia yake ya kugombea ubunge kupitia tiketi ya CCM katika Jimbo la Iringa Mjini katika Ukumbi Highland. (Picha na Friday Simbaya)
Mwanachama mmoja Mary Kowi akimuuliza swali Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Dk. Yahaya Msigwa kwamba endapo atabahatika kuteuliwa na chama kupeperusha bendera na kushinda ubunge kupitia tiketi ya CCM katika Jimbo la Iringa Mjini katika uchaguzi mkuu mwaka huu, atawafanyia nini watoto yatima na wajane. Dk. Msigwa ametia nia na kuchukua fomu leo.(Picha na Friday Simbaya)
Sehemu ya wanachama waliokuja kumsikiliza Dk. Msigwa wakati akitia nia ya kugombea ubunge Iringa mjini leo.
MAMBO MATANO YALIYOMPA KIJITI MAGUFULI
Watanzania wengi na hata wagombea wa CCM walipigwa na butwaa kubwa baada ya kuona Dk John Magufuli anachaguliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Ni watu wachache walimshtukia Dk Magufuli tangu awali na kuona uwezekano wa kiongozi huyo kufika happ alipo leo. Nataka tujadili mambo matano ambayo nayaona kama sababu za CCM kumpa kijiti “Tingatinga” huyu.
1. Kura za kanda ya ziwa
Hili ni jambo la kwanza ambalo liliwafanya wapanga mikakati wa CCM kumvusha Magufuli. Ukiachilia mbali kufahamika kwake nchi nzima, lakini Magufuli anatoka kanda ya ziwa ambako kuna wapigakura wengi lakini kukiwa na ‘hatihati’ ya majimbo mengi kuelekea upinzani. Kanda ya ziwa si salama kwa CCM na lazima chama hicho kingehitaji mkakati wa kudhibiti wapigakura kwa kuwaletea kitu kitakachowaamshia matumaini mapya.
Kanda ya ziwa inaundwa na mikoa ya Simiyu, Mwanza, Shinyanga, Kagera, Mwanza, Geita na Mara na kuna jumla ya wakazi 11,832,857 kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012. Nusu ya wapigakura walioko Kanda ya Ziwa, yaani watu milioni tano wanaweza kuwa wapigakura, hiyo inamaanisha kuwa hii ni idadi inayolingana na kura alizopata Rais Kikwete mwaka 2010.
Nataka ifahamike kuwa kwa namna nchi yetu ilivyo, Kanda ya Ziwa ndiyo inaamua nani aongoze Taifa hili na watu wa kanda hiyo wana tabia ya kujitokeza kupiga kura. Kama tungekuwa tunafanya sensa za kiteknolojia na zinazokusanya taarifa sahihi, naamini kanda ya ziwa ingeweza kujenga zaidi ya theluthi moja ya wakazi wa taifa hili na jambo hilo linadhihirisha mantiki kuwa hii ni ngome ya ushindi kwa chama chochote kile.
Hivi karibuni, CCM imepoteza majimbo mengi kwenye kanda hii na kumtoa mgombea urais eneo hili kuna maana nyingine ya kuwafanya wapigakura warudishe imani kwa “mtu wa kanda yao” hata kama wasingependa kukichagua chama chake. Mkakati wa namna hii unatumika duniani kote na umefaulu maeneo mengi na ili uudhibiti, njia ya haraka huwa ni chama cha upinzani kinachotaka dola nacho kutoa mgombea eneo hilohilo kama ilivyofanya NARC mwaka 2002. Umoja huo wa Kenya ulimsimamisha Mwai Kibaki (Mkikuyu) ili kuvunja nguvu ya chama tawala cha Kenya wakati huo (Kanu) ambacho kilimsimamisha Uhuru Kenyatta (Mkikuyu) kwa lazima kikijua kuwa kitapigiwa kura nyingi kutoka eneo hilo. Uwepo wa Mwai Kibaki kutoka kabila moja na Kenyatta ulifanya Wakikuyu kugawanyika na Kibaki akashinda kushika dola kutoka upinzani. Natumaini kwamba CCM inaijua karata hii muhimu na imeamua kuitumia.
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...