Bwawa la Likingo linalotumika kuzalishia umeme wa Abasia ya Peramiho. Jumla ya kw 11 zinazalishwa kutoka kwenye kituo hiki kilichopo wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma.
Monday, 3 December 2012
SUNDAY MARKET AT MDUDUWALO VILLAGE
Wakazi wa Kijiji cha Mduduwalo wilayani Songea, Mkoa Ruvuma wakifanya biashara ya viatu vya plastiki maarufu kama yebo jana, ikiwa siku ya mnada kwa wanakijiji hao.
FRIDAY SIMBAYA AKIPERUZI KITABU CHA PHYSICAL GEOGRAPHY
Mwandishi wa Kitabu cha 'Physical Geography for Advanced level Students' Katumbi O.J. Chinguku alipotembea ofisi za Mwenge leo, hapa alileta kazi yake kwa ajili ya gazeti la Mwenge. (Picha Na Oswald Ngonyani)
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...