Je, kupeleka watoto kunyoa kwa vinyozi vinavyotumiwa na watu wazima ni salama? Nafikiri sio sahihi kungetakiwa kuwepo na vinyozi vya watoto kuliko kuwachanganya na wakubwa kama unavyojua ni rahisi kuambukizwa magonjwa ya ngozi kama vile fangasi na mapunye kwa vile ngozi yao ni laini.
Miradi mingi ya maji hufa muda mfupi baada ya kukamilika kutokana na kutowashirikisha wananchi, na wao kuona miradi hiyo kama si mali yao bali ni ya serikali na matokeo yake hubaki kuwa vyuma chakavu bomba ambalo halitowi maji kwa miaka mingi kutokana na ukosefu wa usimamizi madhubuti. Ingefaa pindi miradi ya maji inavyo kamilika ikabidhiwe kwa jumuiya za watumiaji maji (WUA) katika maeneo husika ili iweze kudumu. Pia ingefaa gharama za miradi wa maji (water points) ziendane na ubora wa miradi (end product) yenyewe na kuzingatia kwamba hakuna maji ya kutosha ardhini kwenye mwamba wa maji 'watertable'.
Sunday, 26 December 2010
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
Habari ndugu msomaji wetu wa blog, Natumaini unaendelea vyema. Leo tutaanza kujifunza kilimo cha bora cha nyanya, na tutaanza kufahamu vit...