mtia nia wa ccm jimbo la ismani festo kiswaga akiwa katika ofisi za ccm jimbo la iringa vijiji
akiwa na katibu wa ccm iringa vijijini
NA MWANDISHI WETU, IRINGA.
Baada ya zoezi la uchaguzi wa wagombea urais kukamilika katika vyama sasa zoezi limeanza kwa wabunge na madiwani ambapo hii leo Festo Kiswaga ambaye ameweka nia ya kugombea katika jimbo la isimani.
Katika mkutano huo na waandishi wa habari KIswaga amekanusha uvumi uliokuwa umezagaa juu ya kuhongwa pesa mwaka 2010 ili kutogombea huku akidai kuwa alishindwa kwa haiki na si hongo ya mbunge aliyepo madalakani kwasasa huku akimzawadia ukuu wa wilaya.