Friday, 3 October 2014

Students’ body rejects TCU fee

Dar es Salaam. University students through their umbrella organ, Tanzania Higher Learning Institutions Students Organisation (Tahliso), have faulted the decision by the Tanzania Commission for Universities (TCU) to introduce a new charge for them which the latter termed ‘quality assurance fee.’
Tahliso chairman Mussa Mdede, told reporters in the city yesterday that the decision was just meant to make students dig deep into their pockets, despite their poor financial status.
“Why should TCU, a government institution, rely on students’ money to run its daily activities?,” he lamented, adding, “A student fails to even pay tuition fee, yet TCU is adding another burden on him!”
TCU now charges each student Sh20, 000 as quality assurance fee. The vast majority of students charged the fee come from poor families and get financial aid from the university student loans board.
When reached for comment, TCU acting general secretary Prof Magishi Mgasa said the fee would be spent on inspecting universities. (CREDIT: THE CITIZEN)

Tahliso:TCU simamieni majukumu yenu vizuri



Ofisa Habari wa Taasisi ya Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (Tahliso), , Andrew Mwakalobo.PICHA: OMAR FUNGO

Jumuiya ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (Tahliso) wameitaka Tume  ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kusimamia majukumu yake vizuri kwa vyuo ambavyo vinaongeza ada kinyume cha utaratibu.

KINANA AWASILI TANGA MJINI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivuka na kivuko cha MV.Pangani kuelekea Wilaya ya Tanga mjini ambapo anatazamiwa kukagua miradi mbali mbali na kushiriki ujenzi wa maendeleo,wengine pichani ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Pangani Ndugu Hamis Mnegero.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa Pangani baada ya kuvuka na MV.Pangani

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Deo Sanga akisakata muziki...!

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Deo Sanga akisakata muziki katikati ya Ukumbi wa Bunge hilo baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kura zilizopigwa kupitisha Rasimu ya Mwisho ya Katiba inayopendekezwa mjini Dodoma jana. Picha na Edwin Mjwahuzi

CHADEMA IRINGA YALITEGA JESHI LA POLISI

Mchungaji Peter Msigwa
Akiwa na Makamu Mwenyekiti Bavicha, Patrick Ole Sosopi
Sehemu ya watu waliojitokeza katika mkutano huo
Wakionesha ishara ya chama chao
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelitaka jeshi la Polisi kudhibiti misafara mirefu ya magari na pikipiki, na aina yoyote ya maandamano yatakayopangwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa wakati wa mapokezi ya katibu wake mkuu, Abdulahman Kinana.

Magazeti Leo Ijumaa

1_1ba1c.jpg
2_38c74.jpg
03_347ee.jpg
3_76144.jpg
4_10a18.jpg
5_af5ec.jpg

SOSOPI NA MSIGWA WAHUTUBIA WAKAZI WA MANISPAA YA IRINGA

 Mbunge wa Jimbo la Iringa mjini ambaye pia ni waziri kivuli wa maliasili na utalii Mch. Peter Simon Msigwa akihutubia mkutano wa hadhara wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kihesa sokoni jana.



 MAKAMU Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA), Taifa, Patrick Ole Sosopi,akihutubia umati wa wakazi wa manispaa ya iringa na katika mkutano wa hadhara wa chama hicho jana katika viwanja vya kihesa sokoni.

 Wakazi wa kihesa akifuatilia mkutano juu ya lori.

MAKAMU Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA), Taifa, Patrick Ole Sosopi.

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...