Saturday, 4 October 2014

NYALANDU: HAIWEZEKANI KILA MWANA MUFINDI KUVUNA MITI SAOHILL

Nyalandu katika mkutano wake na wananchi wa kijiji cha Igowole, Mufindi Kusini, mkoani Iringa
Alisistiza mengi
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema haiwezekani kila mwananchi wa wilaya ya Mufindi mkoani Iringa anayeomba kuvuna miti katika msitu wa Taifa wa Saohill ulioko wilayani humo akapata kibali.

KINANA KUSHAMBULIA MAJIMBO YOTE YA MKOA WA IRINGA

Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga aliyevaa vazi la Kiislamu alipokuwa akitoa taarifa ya ujuio wa Kinana mkoani Iringa
Hassan Mtenga, Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa
KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulaman Kinana atawasili mkoani Iringa Oktoba 6 katika ziara yake ya siku sita itakayompitisha katika majimbo yote ya mkoa wa Iringa.

MAANDAMANO YA AMANI KUPINGA MAUAJI YA TEMBO NA FARU IRINGA


 Maandamano ya amani ya kupinga mauaji ya tembe na faru kutoka Benki ya Barclays hadi viwanja vya Mwembetogwa katika Manispaa ya Iringa leo.



 Mbunge wa iringa mjini Mch. Peter Msigwa ambaye pia waziri kivuli wa maliasili na utalii akipaza sauti kuhusu mauaji wa tembo na faru wakati wakuadhimisha siku ya kupinga uchangili duniani na kuiomba serikali iwekeze nguvu zaidi kuwalinda wanyama hawa ambao wako hatarini kutoweka. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)


Kutoka kushoto ni mratibu wa SPANEST, Godwell Meing'ataki, kaimu mkuu wa mkoa wa Iringa Adam Swai na Mbunge wa Iringa mjini mch. Peter Msigwa akipata burudani kutoka kikundi cha sarakasi wakati wa maadhimisho ya kupinga mauaji ya tembo na faru duniani leo katika viwanja vya Mwembetogwa. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...