Friday, 10 December 2010

49TH OF TANGANYIKA INDEPENDENCE CELEBRATIONS (UHURU)


The Commander in chief President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete inspects a guard of honour mounted by the Tanzanian armed Forces at the National Stadium Dar es Salaam during the climax celebrations to mark 49 years of independence on Thursday.

President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete greets Zanzibar’s First Vice President Maalim Seif Shariff Hamad at the National Stadium during the 49th Independence Celebrations.



 

President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete waves at the cheering crowd as he enters the National Stadium in Dar es Salaam to grace the 49 years Celebrations of Tanzania’s independence from Britain.Flanking him is the Chief of Defence forces General Davis Mwamunyange.


 PHOTOS: FREDY MARO

KITABU CHA JK CHAZINDULIWA IKULU

 Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha Wasifu wa Maisha yake, akishuhudiwa na Mkewe Mama Salma Kikwete na Mwandishi wa kitabu hicho Profesa Julius Nyang'oro leo mchana Ikulu, Dar es salaam.

Nakala ya kiingereza ya Kitabu cha Wasifu wa JK kama kinavyoonekana. Picha ya chini ni Profesa Nyang'oro akitia saini nakala za kitabu hicho zilizogaiwa bure kwa wageni wote waalikwa waliofika kwenye hafla hiyo. Vitabu hivyo vitaanza kuuzwa kwenye duka la vitabu la Chuo Kikuu Cha Dar es salaam kuanzia kesho tarehe 10-12-2010 kwa gharama ya shillingi 25,000/=

 Baadhi ya wanafamilia ya Mheshimiwa Rais Kikwete wakiperuzi kurasa za kitabu cha Wasifu wa JK kilichozinduliwa leo Ikulu Dar es salaam.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba wakiongea na Profesa Nyang'oro ambaye ndiye mwandishi wa kitabu cha Wasifu wa JK wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho. Kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni na Maendeleo ya Vijana Mheshimiwa Emmanuel Nchimbi akizungumza na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mheshimiwa Shukuru Kawambwa.

PICHA ZOTE KWA HISANI YA IKULU MAWASILIANO.

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...