Friday, 27 May 2016
BRAC: FARMERS SHOULD PRACTICE CROP ROTATION IN ORDER TO INCREASE THEIR YIELDS
MEDIUM and Small-scale farmers have been urged to practice crop rotation because there a lot of benefits which comes along with this kind of farming, hence increased yields.
Iringa Muncipal Agriculture, Irrigation and Cooperative Officer (MAICO), Gerald Mwamuhimila told the farmers and agricultural stakeholders at the ‘Farmer’s Field Day’ yesterday at Ruaha Ward in Iringa municipality, Iringa Region.
Mwamuhimila said, there’s a very good and scientific reason for farmers to plant different crops in a field from year to year.
“It’s a process known as crop rotation, and it’s actually been around a long, long time,” he said.
Crop rotation refers to the practice of growing different types of crops (or none at all) in the same area over a sequence of seasons.
He said that rotating crops helps to improve soil stability by alternating between crops with deep roots and those with shallow roots.
BRAC Maendeleo Tanzania's through the project of Livelihood Enhancement through Agricultural Development (LEAD) in conjunction with International Institute for Tropical Agricultural (IITA) through N2Africa organized Farmer’s Field Day; where they demonstrated how a rotation of maize and soybeans for farmers and agricultural stakeholders at Ruaha Demonstration Plot (Shamba Darasa).
Farmer's Field Day provided field a rotation of maize and soybeans education to local farmers at Ruaha, Iringa, BRAC Tanzania's development through project Livelihood Enhancement through Agricultural Development (LEAD) in conjunction with International Institute for Tropical Agricultural Development (IITA) through N2africa organized day farmer in the field of the example of a rotation of corn and soybeans for farmers and agricultural stakeholders.
According the assistant marketing manager; Lead Project, Samwel Kajiba, that day they invited farmers and stakeholders in agriculture as follows; agricultural, cooperative and marketing officer of the Ruaha Ward, 300 farmers, suppliers of agricultural inputs and livestock pesticides, businesses and NGOs.
farmer field Day for maize and soybeans crop rotation a series of deliberate efforts of BRAC Maendeleo Tanzania in agreement with the losses suffered by farmers as a result of climate change in Iringa and other areas.
Kajiba said that the project has enabled 8,250 farmers to form maize-growing and poultry groups in Iringa region.
He said the aim of organizing the farmer’s field day was to show example of a rotation of maize and soybeans and also sharing and disseminating good agricultural practices, the technologies to farmers and other stakeholders.
‘We demonstrated the ability to various systems of crop rotation and fertilizer and inoculants in Soybeans and UREA in maize alone,” Kajiba said.
LEAD Project is working from 18 regions in Tanzania Mainland and Zanzibar alike have benefited from loans issued by BRAC, noting that many unprivileged households have managed to move from the poverty line.
Vesper Kwavava, is small scale farmer from Ruaha Ward in Iringa Municipality who testified to his fellow farmers how benefited from the LEAD project.
He said that the project gave him some agricultural inputs for free including seeds and fertilizer to plant at his one acre farm, and he is expecting to harvest up to 30 bags of maize this year.
He said that before the project he was getting only eight to ten bags of maize per acre but with the crop rotation farming practice, he is able to harvest 30 bags of maize.
On his part, Regional Agricultural Coordinator, Delowar Hossain said it’s wrong to planting the same crop in the same field season after season.
He said there are several problems begin to creep up when you don’t rotate crops. All of these problems can lead to decreased yields over the course of several years.
He said, First, the land itself can become “tired” and less fertile. This is because the same type of crop planted repeatedly in the same area keeps draining the land of the same nutrients needed for that plant’s growth.
Second, certain pests can reach levels that are hard to control when they learn to make a home near a field that always has the same type of crop.
And finally, land can be more susceptible to the forces of erosion if the same type of crop is planted repeatedly season after season.
Crop rotation helps mitigate each of these effects. Different types of plants require different types of nutrients from the soil.
“Changing crops routinely allows the land to remain fertile, since not all of the same nutrients are being used each season. For example, planting a legume, such as soybeans, helps to replenish necessary nitrogen in the soil,” said Hossain.
BRAC started its work in Tanzania in 2006 by adapting and implementing its comprehensive development models reaching approximately 2.64 million people, with programs in microfinance, small enterprises development, education, agriculture, poultry and livestock and empowerment and livelihood for adolescents.
*************************************************
*************************************************
Siku ya mkulima katika shamba la mfano la kilimo cha mzunguko wa mahindi na soya ruaha , Iringa, BRAC Maendeleo Tanzania kupitia mradi wa livelihood enchancement through agricultural development (LEAD) kwa kushirikiana nainternational institute for tropical agricultural development (IITA) kupitia N2africa waeandaa siku ya mkulima katika shamba la mfano la kilimo cha mzunguko wa mahindi na soya kwa wakulima na wadau mbalimbali wa kilimo.
Tumewaalika wakulima na wadau katika kilimo kama ifuatavyo; afisa kilimo, ushirika ma masoko, afisa kilimo wa kata ya ruaha, wakulima 300, wauzaji wa pembejeo za kilimo na mifugo, wafanyabiashara na NGOs.
Lengo la siku ya mkulima katika shamba la mfano la kilimo cha mzunguko wa mahindi na soya ni kushirikiana na kusambaza kanuni bora za kilimo cha mzungo, teknolojia iliyotumika na matokeo ya shamba la mfano kwa wakulima na wadau mbalimbali.
Siku ya mkulima katika shamba la mfano la kilimo cha mzunguko wa mahindi na kunde ni mfululizo wa jitihada za makusudi za shirika la BRAC Maendeleo Tz katika kukubaliana na hasara wanayopata wakulima kutokana na mabadiliko ya tabia nchi mkoani iringa na maeneo mengine.
Shirika la BRAC lilianzishwa mwaka 1972 nchini Bangladesh kama taasisi ndogo ya kutoa misaada, na baadaye kugeuka kuwa shirika kubwa la maenedeleo duniani likifanya shughuli zake katika nchin zipatazo 11 ikiwafikia watu zaidi ya milioni 135, asia, afrika na caribiani.
BRAC maendeleo Tanzania imekuwa imekuwa ikifanya kazi katika mikoa 18 ya Tanzania bara na Zanzibar ikiwa na matawi 120 na umasikini na kuinua kipato chao.
Kuonyesha uwezo mifumo mbalimbali ya kilimo cha mzunguko na mbolea za viwandani na inoculants katika soyana urea katika mahindi peke yake.
ANUSURIKA KIFO BAADA YA KUJIRUSHA KUTOKA KWENYE MNARA WA SIMU JIJINI MWANZA
Kijana Mmoja (picha) Jijini Mwanza amenusurika kifo baada ya
kujirusha kutoka katikati ya mnara wa simu.
Na BMG
Tukio hilo limetokea hii leo na kuvuta watu wengi waliofika kumshuhudia kijana huo ambae amepanda katika mnara huo tangu majira ya asubuhi na kukatalia mnarani hadi majira ya saa sita mchana.
Mashuhuda wa tukio hilo ambao pia ni marafiki wa karibu na kijana huyo, wamesema huenda kijana huyo amefikia maamuzi hayo kutokana na ugumu wa maisha ambao amekuwa akiulalamikia huku wengine wakisema ni kutokana na kuathiriwa na matumizi ya dawa za kulevya ikiwemo gundi ambayo amekuwa akiyatumia.
Akizungumza kwa niaba ya Kamanda wa jeshi la uokoaji na zima moto mkoani Mwanza, mmoja wa maafisa wa uokoaji Mussa Kaboni, amsetoa rai kwa makampuni yenye minara ya simu kuimarisha ulinzi katika minara hiyo ili kuondoa hatari inayoweza kujitokeza kutoka kwa raia wasio wema.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo walionekana kuchukizwa na kitendo cha kijana huyo na kusikika wakifoka kwa hasira na makelele ya hali ya juu "rukaa, ruka sasa, jirushe kama wewe ni mwanaume" hali ambayo ilikuwa ikimuongezea morari kijana huyo na hivyo kujirusha kweli kutoka katikati ya mnara huo.
Baada ya kijana huyo kujirusha kutoka katikati ya mnara hadi chini, alipoteza fahamu na kukimbizwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, Sekour Toure kwa ajili ya huduma ya kwanza.
RAIS MAGUFULI ALIA NA RUSHWA KWA MAKANDARASI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wakandarasi kote nchini kufanya kazi kwa kutanguliza maslai ya taifa, badala ya kutaka kupata faida kubwa kupita kiasi kutoka kwenye zabuni za miradi ya ujenzi wanayopata kutoka serikalini.
Dkt. Magufuli amesema hayo leo tarehe 26 Mei, 2016 alipokuwa akifungua mkutano wa mashauriano wa bodi ya usajili wa wakandarasi kwa mwaka 2016 unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es salaam.
Rais Magufuli amesema serikali yake ipo tayari kuwapa kipaumbele wakandarasi wa Tanzania pale inapotangaza zabuni za miradi ya ujenzi, lakini amewataka kujirekebisha kwa kupanga viwango vinavyostahili vya gharama za ujenzi wa miradi hiyo ambavyo serikali itaridhika.
“Nawatolea mfano, idara ya mahakama imetangaza kujenga mahakama za mwanzo na za wilaya, kwenye bajeti wana shilingi bilioni 24, makadirio ya kitaalamu yanaonesha kila jengo lisizidi shilingi milioni 200, wakandarasi wazalendo walipoomba katika nyaraka zao wametaka jengo moja lijengwwe kwa shilingi bilioni 1 na milioni 400, sasa nakuuliza Mheshimiwa Mwenyekiti na ndugu wakandarasi, hata kama una upendeleo, upendeleo huo utapasua moyo.
“Hata kama utakuwa na upendeleo kiasi gani kwa wazalendo utashindwa, sasa mimi niwaombe ndugu zangu wakandarasi, pamoja na nia nzuri ya serikali kuwasaidia wakandarasi wazalendo ni lazima na ninyi muwe na nia nzuri ya kuisadia nchi” Amesema Rais Magufuli
Pamoja na hilo, Rais Magufuli ametaka wakandarasi hao kuacha kutoa rushwa kwa watendaji wa serikali pale wanapoomba zabuni za ujenzi na badala yake amewataka kutoa taarifa kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (TAKUKURU) ili watendaji hao wakamatwe na kuchukuliwa hatua za kisheria.
“Mimi niwaombe wakandarasi, msikubali kutoa rushwa, na muwafichue watendaji wanaoomba rushwa, atakapokuomba wewe rushwa hujui amewaomba wangapi, na utakapotoa rushwa huna hakika kama ile tenda utaipata, wengine wameishia kutoa rushwa hapa, rushwa hapa, rushwa hapa mpaka anafilisika, kazi huipati na rushwa umeitoa”Amesisitiza Dkt. Magufuli.
Aidha, Rais Magufuli ametoa wito kwa wakandarasi hao kujipanga ipasavyo ili waweze kupata zabuni katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya ujenzi itakayofanywa hapa nchini ikiwemo ujenzi wa bomba la mafuta la kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga hapa Tanzania, Ujenzi wa Reli ya Kati na Ujenzi wa Viwanda.
“Sina uhakika kwamba mmejipangaje wakandarasi wa Tanzania katika kuhakikisha hiyo kazi mnaipata ya kujenga bomba kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga.
“Nitasikitika sana kilometa zote 1,410 pasiwepo mkandarasi hata mmoja wa kutoka Tanzania, wenzetu wanajipanga, na ninavyoona wakandarasi wa Tanzania wameendelea sana, lakini nashindwa kuelewa kuna tatizo gani linatufanya kutojua changamoto zinazotukabili, tumejipanga kujenga reli ya kati (Standard Gauge) kwenye bajeti ya mwaka huu tunaanza na kilometa 100, lakini kuna fedha nyingine zitatolewa na serikali ya China, tutajenga zaidi ya kilometa 1,200 (Standard Gauge, Central Corridor) itakayounganisha Mwanza, Kigoma, Burundi na Rwanda. Wakandarasi wa Tanzania mmejipangaje? " ameuliza Rais Magufuli.
Mkutano huo pia umehudhuriwa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Kamishna Valentino Mlowola ambaye amesema Taasisi hiyo ipo tayari kukabiliana na rushwa iliyopo katika sekta ya ujenzi ambayo ni miongoni mwa sekta zenye rushwa kubwa na ametaka wakandarasi watoe ushirikiano kukomesha tatizo hilo.
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es salaam
26 Mei, 2016
OFISI TAIFA YA TAKWIMU YASHIRIKIANA NA BENKI YA DUNIA KUTOA TAKWIMU SAHIHI
Pichani ni Mkurugenzi mkuu (NBS) Dk.Albina Chuwa
KATIKA kuhakikisha takwimu zinazotole kwa wananchi zinakuwa na ubora wa kimataifa nakuweza kutumika katika nyanja mbalimbali za kukuza uchumi, Ofisi ya Taifa ya Takwimu nchini (NBS)kwakushirikiana na Benki ya dunia imeanzisha mpango endelevu wa maendeleo wa mwaka 2030.
Akizungumza na waandishi wahabari mapema hii leo jijini Dar es salaam Mkurugenzi mkuu (NBS) Dk.Albina Chuwa amesema kuwa mpango huo unalenga kuratibu viashiria 230 ambavyo vimeridhiwa na wakuu wa takwimu duniani katika mkutano wake wa 47ulifanyika Newyork Marekani ambapo amedai kuwa mpango huo ulalenga kuzisaidia nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania .
''MPANGO huu unakauli mbiu ya'' Leave no one BEHIND ''unalenga kuzisaidia nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania ambapo mpango huu unalenga kuzalisha takwimu bora iliziweze kutumika katika nyanja za maendeleo ''Alisema Dk.Albina CHUWA .
Amesema kuwa tasnia ya takwimu inahitaji watu walio na weledi wakutosha ambao wataweza kuzikusanya,kuzichambua pamoja na kutafusiri matokeo ya sera .
Dk Chuwa amefafanua kuwa kwakuzingatia unyeti wa sekta yatakwimu nchini ofisi ya takwimu imetetengeza mifumo mbalimbali itakayo wezesha kupata takwimu zilizo bora katika ukanda wa afrika mashariki .
''LENGO lauanzishwaji wa mfumo huu unalenga kupunguza gharama zakusanya takwimu nchini nakuweza kupatamfumo mzima wa kuratibu shughuli nzima uandikishwaji wawapigakura nauandikishwaji waraia 'Amesema ALBINA chuwa .
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...