Thursday, 21 October 2010

UKARABATI WA JENGO LA NSSF UNAENDELEA

MAFUNDI rangi wakiendelea kupaka rangi Ghorofa la NSSF 'AKIBA HOUSE' Mjini Iringa huku wakiwa wamekalia ngazi ya kutengeneza kwa kutumia kamba ya katani ikiwa ni sehemu ya mradi  ya ukarabati wa jengo hilo unaojumlisha pia na uborashaji wa madrisha mapya.

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...