Wannafunzi mbalimbali wa shule za msingi mkoani Njombe akipeperusha bendera za Finland na Tanzania kwa kuashiria uzinduzi rasmi wa programu ya panda miti kibiashara (PFP).
Mwakilishi wa Balozi wa Finland nchini Tanzania, Mikko Leppanen na Naibu wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahmoud Mgimwa akizindua rasmi kwa pamoja programu ya panda miti kiabiashara mjini Njombe. (Picha na Friday Simbaya)
Mwakilishi wa Balozi wa Finland nchini Tanzania, Mikko Leppanen akimwagilia maji miti baada ya kupanda.
Naibu waziri wa maliasilia na utalii, mahmoud Mgimwa (MB) akimwagilia maji miti baada ya kupanda.
By Friday Simbaya, NJOMBE
The Representative of the Ambassador of Finland to Tanzania Mikko Leppanen has assured people living near tree plantation areas in the southern highlands not to fear about losing their arable lands to tree plantation program.