Monday, 13 October 2014

Msomi maarufu wa Kenya Profesa Ali Alamin Mazrui amefariki dunia

Vicent Nyerere: Kuenzi ni vitendo maneno kelele


 
 
 
 
Katika kuenzi Nyerere Day kwa vitendo Mbunge wa Jimbo la Musoma Mjini (CHADEMA) Vicent Nyerere, amejenga choo chenye matundu 8 katika kijiji cha Bumangi, ambapo anataraji kukabidhi kwa serikali ya kijiji mara baada ya kukamilika kwa ujenzi huo.

NGUMI KUPIGWA SIKU YA NYERERE DAY MUSOMA BAR TANDIKA MAGULUWE


Bondia Suma Ninja akitunishiana misuli na Shomali Mirundi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika ukumbi wa Musoma Bar Tandika Maguluwe siku ya Nyerere Day Picha na SUPER D 
 
Bondia Azizi Abdalla akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika siku ya nyerere Day Oktoba 14 katika ukumbi wa musoma bar tandika maguluwe kulia ni mpinzani wake Azizi Rashid Picha na SUPER D  
Bondia Imani Daudi 'Imana Mapambano' kushoto akitunishiana misuli na Ally Sufiani baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya Nyerere Day katika ukumbi wa Musoma Bar Tandika Maguluwe Picha na SUPER D BLOG
 
Bondia Suma Ninja akitunishiana misuli na Shomali Mirundi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika ukumbi wa Musoma Bar Tandika Maguluwe siku ya Nyerere Day Picha na SUPER D


Mabondia Azizi Abdalla na Azizi Rashid wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya Nyerere Day katika ukumbi wa musoma bar tandika maguluwe Picha na SUPER D BLOG

KINANA AKISIKILIZA KWA MAKINI SWALI KUTOKA KWA MWANANCHI


Mkazi wa Iringa mjini Kaspar Mtotomwema (kulia) akimuuliza swali Katibu Mkuu wa CCM), Abdulrahman Kinana kuhusu tofauti ya katiba inayopendekezwa na rasimu ya Warioba kuhusiana na suala la wananchi kuwawajibisha  wabunge wakati mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika katika viwanja vya Mwembetogwa juzi. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)

DAKIKA 90 ZA DUNIA. Kumalizika kwa mkutano wa DICOTA


Baraza la waTanzania waishio nchini Marekani (DICOTA) limemaliza mkutano wake wa mwaka Jumapili ya Oktoba 5 jijini Durham jimbo la North Carolina ambao kwa wengi waliohudhuria, wameonyeshwa kuridhishwa nao

Mwenzangu Mubelwa Bandio, anayo taarifa kamili.



Hii ni sehemu ya ripoti za Kwanza Production kwenye kipindi cha DAKIKA 90 ZA DUNIA kinachorushwa na kituo cha Radio cha Capital FM cha Dar Es Salaam Tanzania kila Jumamosi kuanzia saa moja na nusu asubuhi (7:30 AM).
Hii ilikuwa ripoti ya Oktoba 11, 2014

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO

Waziri Pinda
*Azindua jengo la kisasa la Mama Ngojea wilayani Urambo

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewataka viongozi wa mkoa wa Tabora wajipange vizuri na kuhakikisha kuwa wanajenga vituo vya afya katika kila kata za wilaya ya Urambo kwa sababu bado iko nyuma.

JK AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole Mama Getrude Shija, Mjane wa  Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga  Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo cha msiba wa  Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga  Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.

ZIARA YA PINDA URAMBO



 Mkuu wa mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa  akizungumza katika mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Uyui Tabora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



 Mbuge wa Igalula , Athumani Mfutakamba akizungumza katika Mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Uyui Tabora . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Mbunge wa Urambo Mashariki na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta akizungumza katika sherhe za kuzindua wodi ya wanawake wajawazito wanaosubiri kujifungua katiak hospitali ya wilaya ya Urambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




 Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora, Margareth Sitta akizungumza katika  sherhe za kuzindua wodi ya wanawake wajawazito wanaosubiri kujifungua katiak hospitali ya wilaya ya Urambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua wodi ya   ya wanawake wajawazito wanaosubiri kujifungua katika hospitali ya wilaya ya Urambo, Oktoba 12, 2014. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Margareth Sitta ,,watatu kulia ni Mbunge wa Urambo Mashariki na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta na  wapili kulia ni  Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwansa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

DAKIKA 90 ZA DUNIA. Kumalizika kwa mkutano wa DICOTA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjoVEsvJPLOWmZT_srEhmiOgP90oiLQ5yEuKsFZXAxUUphhtm3HjR9J4zsJKSBoZ0pWppFsy-ktWs1KRHCNwhlUl_hVnXei1AZXYokjysjSu_hJvGX53u0nE1xklCbX3gJ-fECpIyHDI_g/s1600/Dicota+convention+2014.jpg" imageanchor="1" style="margin-left: 1em; margin-right: 1em;">
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjoVEsvJPLOWmZT_srEhmiOgP90oiLQ5yEuKsFZXAxUUphhtm3HjR9J4zsJKSBoZ0pWppFsy-ktWs1KRHCNwhlUl_hVnXei1AZXYokjysjSu_hJvGX53u0nE1xklCbX3gJ-fECpIyHDI_g/s1600/Dicota+convention+2014.jpg
" height="424" width="640" />
Baraza la waTanzania waishio nchini Marekani (DICOTA) limemaliza mkutano wake wa mwaka Jumapili ya Oktoba 5 jijini Durham jimbo la North Carolina ambao kwa wengi waliohudhuria, wameonyeshwa kuridhishwa nao
Mwenzangu Mubelwa Bandio, anayo taarifa kamili.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgg3f41-pAKT7b1xQGxdc52UOFt1272odT4MFjk_kbT936DW77N9U5FrtbZ2p1TPFKRZXSS4XZfKTAUI-5lo-PRUe86FzpsK4KkJpCtoqnTe7Y2wuMZqv8v1Yh-eig6qYejdkWBw2tPM40/s1600/Bandio+Bahati.png" imageanchor="1" style="margin-left: 1em; margin-right: 1em;">https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgg3f41-pAKT7b1xQGxdc52UOFt1272odT4MFjk_kbT936DW77N9U5FrtbZ2p1TPFKRZXSS4XZfKTAUI-5lo-PRUe86FzpsK4KkJpCtoqnTe7Y2wuMZqv8v1Yh-eig6qYejdkWBw2tPM40/s1600/Bandio+Bahati.png
" height="232" width="640" />
Hii ni sehemu ya ripoti za Kwanza Production kwenye kipindi cha DAKIKA 90 ZA DUNIA kinachorushwa na kituo cha Radio cha Capital FM cha Dar Es Salaam Tanzania kila Jumamosi kuanzia saa moja na nusu asubuhi (7:30 AM).
Hii ilikuwa ripoti ya Oktoba 11, 2014

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...