Monday, 13 October 2014

ZIARA YA PINDA URAMBO



 Mkuu wa mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa  akizungumza katika mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Uyui Tabora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



 Mbuge wa Igalula , Athumani Mfutakamba akizungumza katika Mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Uyui Tabora . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Mbunge wa Urambo Mashariki na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta akizungumza katika sherhe za kuzindua wodi ya wanawake wajawazito wanaosubiri kujifungua katiak hospitali ya wilaya ya Urambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




 Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora, Margareth Sitta akizungumza katika  sherhe za kuzindua wodi ya wanawake wajawazito wanaosubiri kujifungua katiak hospitali ya wilaya ya Urambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua wodi ya   ya wanawake wajawazito wanaosubiri kujifungua katika hospitali ya wilaya ya Urambo, Oktoba 12, 2014. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Margareth Sitta ,,watatu kulia ni Mbunge wa Urambo Mashariki na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta na  wapili kulia ni  Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwansa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...