Monday, 13 October 2014

JK AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole Mama Getrude Shija, Mjane wa  Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga  Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo cha msiba wa  Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga  Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwelekeza ofisa wa Bunge wakati wa shughuli za kutoa heshimam za mwisho kwa Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga  Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
 
Bw. Saidi Yakubu, MC wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu Dkt William Shija Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Anne Makinga akiongea wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu Dkt William Shija Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
 
Sehemu ya waombolezaji.
 
Rais Kikwete akipeana mikono na Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) baada ya kutoa salamu za rambirambi kutoka makao makuu ya CPA jijini London.
 
Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) akimkabidhi binti wa marehemu vitabu vya maombolezo vilivyotiwa saini na waombolezaji huko London Uingereza.
 
Familia ya marehemu Dkt William Shija wakiwa  katika shughuli za kuaga mwili Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.

No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...