Saturday, 6 December 2014
Hukumu kesi ya ujangili ‘kiini macho’
Moshi/Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa
wa Kilimanjaro, jana imemhukumu raia wa Pakistan Ahmed Kamran kifungo
cha miaka 60 jela baada ya kumtia hatiani kwa makosa manne ikiwamo
kusafirisha twiga wanne hai kwenda Qatar.
SHULE YA MSINGI IGOMAA
Wanafunzi wa shule ya msingi ya igomaa kata ya sadani tarafa ya sadani wilaya ya mufindi, mkoa wa Iringa wakicheza mchezo wa kimama baada ya kufunga shule jana.
Wanafunzi wa shule ya msingi ya igomaa kata ya sadani tarafa ya sadani wilaya ya mufindi, mkoa wa Iringa wakifurahia mbele ya kamera baada ya kufunga shule jana.
IRINGA SASA HAKUNA SHIDA YA MBEGU YA MITI
Kitalu cha wakala wa mbegu ya miti (Tanzania tree seed agency southern and western zonal seed centre- iringa).
Kitalu cha wakala wa mbegu ya miti (Tanzania tree seed agency southern and western zonal seed centre- iringa)..Mango grafting
Kitalu cha wakala wa mbegu ya miti (Tanzania tree seed agency southern and western zonal seed centre- iringa). Eucalytus Seeds zikiwa zimeanikwa.
Kitalu cha wakala wa mbegu ya miti (Tanzania tree seed agency southern and western zonal seed centre- iringa). Miti wa Sausage tree (Mwegea)
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
Habari ndugu msomaji wetu wa blog, Natumaini unaendelea vyema. Leo tutaanza kujifunza kilimo cha bora cha nyanya, na tutaanza kufahamu vit...