Saturday, 6 December 2014

SHULE YA MSINGI IGOMAA

Wanafunzi wa shule ya msingi ya igomaa kata ya sadani tarafa ya sadani wilaya ya mufindi, mkoa wa Iringa wakicheza mchezo wa kimama baada ya kufunga shule jana.

Wanafunzi wa shule ya msingi ya igomaa kata ya sadani tarafa ya sadani wilaya ya mufindi, mkoa wa Iringa wakifurahia mbele ya kamera baada ya kufunga shule jana.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...