Thursday, 27 November 2014

UJENZI WA BARABARA YA IRINGA-DODOMA UNAENDELEA



Mwanamke akiendesha mtambo wa kumwaga lami maeneo ya kihesa sokoni manispaa ya iringa. ujenzi wa barabara unafanywa na kampuni ya kichina ya SIETCO.

MVUA ZIMEANZA KUNYESHA MKOANI IRINGA





RUCO WAMTUNUKIA SHAHADA YA HESHIMA YA UZAMIVU RAIS MTAAFU WA AWAMU YA TATU, DK M MKAPA

Mkapa akimsalimia Askofu wa jimbo la Njombe, Alfred Maluma kwa heshima ya juu zaidi.

                          

Hapa ni baada ya kuzindua jengo la Benjamin Mkapa, la chuo hicho.



NA FRANK KIBIKI
RAIS mstaafu, Benjamin William Mkapa amepewa shahada ya heshima ya uzamivu katika sheria ya chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT).

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...