Tuesday, 11 August 2015

WAANDISHI WA HABARI KANDA YA MASHARIKI (EASTERN ZONE) MOROGORO WAPIGWA MSASA KUHUSU UCHAGUZI 2015



Waandishi wa habari kutoka mikoa ya Iringa, Dodoma, Pwani na wenyeji Morogoro akiendelea na warsha ya namna ya kuripoti uchaguzi 2015 iliyoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa kushirikiana na shiriki la BBC kupitia mradi wake wa Media Action inayofanyika mjini Morogoro. Katika semina hiyo waandishi wa habari wamepata mafunzo kuhusu mambo muhimu katika uchaguzi pamoja na vikwazo katika uchaguzi wa kidemokrasia. (Picha na Friday Simbaya)

MODEWJI BLOG INAOMBA RADHI KWA KUTOKUWA HEWANI

Wapendwa wasomaji wa Modewjiblog tunashughulikia matatizo ya kifundi yaliyojitokeza tangu jana kwenye ‘server’ kiutaalam inaitwa DDOS unaweza kuperuzi link hii kwa taarifa zaidi https://en.wikipedia.org/wiki/Denial-of-service_attack ambayo yako nje ya uwezo wetu.

Modewjiblog itarudi hewani hivi punde, samahani kwa usumbufu wowote ule uliojitokeza, tunahitaji ushirikiano wenu zaidi.

There has been an undergoing DDOS attach on the server https://en.wikipedia.org/wiki/Denial-of-service_attack.

We have taken measures to lighten the effects of this as much as we can. Unfortunately it is something that we don't have much control over, but we will do all in our power to get the blog back to full functionality.

Imetolewa na Operation Manager wa Modewjiblog, Zainul Mzige. 

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...