Tuesday, 2 June 2015

TUME YA USHINDANI: VITA DHIDI YA BIDHAA BANDIA NI VITA DHIDI YA WATU WENYE UWEZO KIFEDHA


Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu, Tume ya Ushindani (FCC), Allan Mlulla akitoka hotuba yake jana wakati semina ya kuelimisha wadau kuhusu masuala ya ushindani, kumlinda mlaji na mapambano dhidi ya bidhaa bandia. 






Katibu Tawala Mkoa wa Iringa (RAS), Wamoja Ayubu akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa semina ya kuelimisha wadau kuhusu masuala ya ushindani, kumlinda mlaji na mapambano dhidi ya bidhaa bandia jana.







Washiriki wa semina ya kuelimisha wadau kuhusu masuala ya ushindani, kumlinda mlaji na mapambano dhidi ya bidhaa bandia kwa kufuatilia kwa makini mada zillizokuwa zinatolewa. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA WA SIMBAYABLOG) 




Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu, Tume ya Ushindani (FCC), Allan Mlulla amesema vita dhidi ya bidhaa bandia ni vita dhidiya watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha, dhidi ya wahalifu ambao hawatakubali kirahisi kuachana na biashara hiyo.

Mlulla alisema hayo jana wakati semina ya kuelimisha wadau kuhusu masuala ya ushindani, kumlinda mlaji na mapambano dhidi ya bidhaa bandia iliyofanyika mkoani Iringa iliyoandaliwa na Tume ya Ushindani.

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...