Monday, 1 November 2010
MCHUNGAJI PETER MSIGWA ANYAKUWA JIMBO LA IRINGA
MGOMBEA wa chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema) Jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa avunja ngome ya CCM Mkoa wa Iringa baada ya kuwabwagwa vibaya wapinzani wake katika matokeo ya ubunge baada ya kujizolea kura 17742 dhidi ya kura 16916 alizopata Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Monica Mbega.
NDONDOO ZA UCHAGUZI MKUU JIMBO LA LUDEWA-IRINGA
Jimbo la Ludewa (Mkoa wa Iringa) lilikuwa na jumla ya wapiga kura walioandikishwa 60,976 sawa na asilimia 80 ya lengo la uandikishaji (75,826), Msimamizi wa Uchaguzi Hildah Lauo ameeleza.
Msimamizi wa uchaguzi huyo ambaye pia ni Mkurungezi wa Halmashauri ya Ludewa Jimbo la Ludewa lilkuwa na idadi ya vituo vya kupigia kura 202 yenye jumla ya kata 25, ambapo kata 14 kati ya 25 zilipita bila kupingwa na kata kumi na moja (11) ndizo uchagazi wa madiwani ulifanyika na tayara kata ya Lupingu imenyankiliwa na upinzani (TLP).
Aidha, alisema kuwa matokeo ya awali katika uchaguzi wa urais kutoka kata nne (Ibumi, Iwela, mkomang'ombe na Luana)sawa na vituo vya kupgia kura 33 matokeo ya awali ya urais yakuwa, kura 3,992 walichukua CCM na CHADEMA walipata 1,414.
Alisema kuwa pamoja na idadi hiyo ya wapiga kura wa jimbo hili wananchi hawakujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi mkuu 2010 kutokana na sababu mbalimbali, zikiwemo za kupoteza shada za kupigia kura na wengine kuamua kutopiga kura kabisa.
Kwa ujumla zoezi la upingaji kura katika Jimbo la Ludewa lilikwenda vizuri ambapo hakuna sehemu yoyote kulikoripotiwa kuwa na vurugu za kisiasa mpaka sasa.
Hata hivyo mchana huo tapata matokeo kamili kutoka kata zilizobaki zenye idadi ya wapiga kura wengi kama Mlangali na Lugalawa.
Ok bye see you later, mchana mwema.

UCHAGUZI MKUU 2010 KATIKA JIMBO LA LUDEWA
Mmoja wa makarani waongozaji, Joseph Mtake akihakikisha kama jina la mpiga kura lipo kwenye orodha ya majina yaliyobandikwa nje kituo cha kupigia kura kilichopo katika ofisi ya Makao Makuu ya Kata ya Ludewa mjini kabla ya mpiga kura hajaingia rasmi ndani kwa ajili ya kuwapigia kura rais na diwani. Jimbo la Ludewa (Mkoa wa Iringa) ambaye mbunge wa chama cha Mapinduzi (CCM), Deo Filikujombe alipita bila kupingwa katika kura za maoni walifanya chaguzi mbili tu ya urais na udiwani katika ucgagazi Mkuu 2010.
Mama mmoja mkazi Ludewa Mjini ambaye hakufahamika jina mara akijifuta wino kidoleni mkono wa kushoto kidole kidogo baada ya kutoka chumba cha kupigia kura katika kituo cha kipigia kura kilichopo ofisi ya makao makuu ya Kata ya Ludewa mjini jana. Kata ya Ludewa ilikuwa na jumla ya vituo vya kupigia kura 14 ambapo katika uchaguzi wa madiwani 2010 katika Kata ya Ludewa mjiini walikuwepo jumla ya wagombea wanne, ambao ni Monica Mchilo (CCM), Oscar Kikoti (CUF), Kilian Kanyaga (NCCR-Mageuzi) na Pirmini Ngailo (TLP). Katika uchaguzi huo Monica Mchilo (CCM) aliibuka mshindi kwa kupata kura zaidi 1,800.
Mwandishi wa habari wa The Gurdian na mmliki wa blog hii Friday Simbaya (kushoto) akifanya mahojiano na Monica Mchilo mshindi (CCM) katika uchaguzi wa wadiwani, Kata ya Ludewa Mjini nyumbani kwake leo.
Mama mmoja mkazi Ludewa Mjini ambaye hakufahamika jina mara akijifuta wino kidoleni mkono wa kushoto kidole kidogo baada ya kutoka chumba cha kupigia kura katika kituo cha kipigia kura kilichopo ofisi ya makao makuu ya Kata ya Ludewa mjini jana. Kata ya Ludewa ilikuwa na jumla ya vituo vya kupigia kura 14 ambapo katika uchaguzi wa madiwani 2010 katika Kata ya Ludewa mjiini walikuwepo jumla ya wagombea wanne, ambao ni Monica Mchilo (CCM), Oscar Kikoti (CUF), Kilian Kanyaga (NCCR-Mageuzi) na Pirmini Ngailo (TLP). Katika uchaguzi huo Monica Mchilo (CCM) aliibuka mshindi kwa kupata kura zaidi 1,800.
UCHAGUZI MKUU 2010
Mgombea Urais kupitia chama cha CHADEMA, Dr. Wilroad Slaa akipiga kura jana mchana mjini Karatu mkoani Arusha.
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...