Monday, 1 November 2010

MCHUNGAJI PETER MSIGWA ANYAKUWA JIMBO LA IRINGA


MGOMBEA wa chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema) Jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa avunja ngome ya CCM Mkoa wa Iringa baada ya kuwabwagwa vibaya wapinzani wake katika matokeo ya ubunge baada ya kujizolea kura 17742 dhidi ya kura 16916 alizopata Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Monica Mbega.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...