A vintage razor. File photo. Image by: Gallo Images/ Thinkstock A Macedonian man, who was dumped by his girlfriend after she told him he was no good in bed, chopped off his penis and threw it in the bin. |
Friday, 24 October 2014
Man cuts off 'useless' penis chucks it in the bin
MOI yajiimarisha katika utoaji huduma muhimu za Tiba na Upasuaji
Meneja
Ustawi wa Jamii na Uhusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na
Mishipa ya Fahamu (MOI) Bw. Almas Jumaa akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo
pichani) jinsi Taasisi hiyo ilivyoendelea kuwa nguzo Muhimu katika kuokoa
maisha ya watanzania ambapo upasuaji wa kitaalam wa mgongo umeendelea kufanyika
na kufanikiwa kwa zaidi ya asilimia 99 na kusaidia kuwaondoa wagonjwa wenye
tatizo hilo katika hatari ya kupotea uhai.Kulia ni Afisa Uhusiano wa Taasisi
hiyo Bw. Patrick Mvungi PICHA
NA MAELEZO
SHEREHE ZA UN ZAFANA: TZ YATAKA UTEKELEZAJI MFUKO WA GCF
Kapteni Emmanuel Kukula (aliyenyoosha kidole) wa Jeshi la Wananchi Tanzania akiwa na baadhi ya maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa pamoja na Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu wakishauriana masuala ya Protokali kabla ya kuanza kwa sherehe za maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake zilizofanyika leo jijini Dar es Salaam kwenye viwanja vya Karimjee. (Picha na Zainul Mzige)
Ligi kuu ya England viwanja kuwaka moto
Everton
Katika ligi kuu ya England mechi 12 zimechezwa usiku wa kuamkia leo ambapo Tottenham wamewabamiza bila huruma Asteras Tripolis kwa magoli 5 -1.
Grace Mugabe announces candidacy to succeed husband Robert Mugabe
Zimbabwe's first lady Grace Mugabe on Thursday announced her candidacy to succeed her husband, 90-year-old president Robert Mugabe, when he leaves office.
SERIKALI YATANGAZA NAFASI MPYA ZA AJIRA (BENKI YA POSTA NA TOSCI)
Bodaboda ni sanaa Uganda
Katika barabara za jijini Kampala -mji mkuu wa Uganda-siku hizi kuna vitu ambavyo vimepambwa ambavyo si vya kawaida.
Kuna picha kubwa za michoro ya sanaa ikiwa juu ya pikipiki -maarufu kama Bodaboda.
Hii ni sehemu ya tamasha la sanaa la kisasa la michoro. Shabaha ya maonyesho haya ni kufichua maisha na sauti ambazo hazijawahi kusikika. BBC
WABUNGE WA KAMATI YA UCHUMI VIWANDA NA BIASHARA WATEMBELEA KIWANDA CHA KONYAGI
WAZIRI MKUU AKARIBISHA WAWEKEZAJI WA POLAND
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewasili nchini Poland kwa ziara ya siku mbili ya Kiserikali ambayo inalenga kuwavutia wafanyabiashara wa nchi hii waje kuwekeza Tanzania.
UK TRADE & INVESTMENT LONDON/SOUTH EAST TRADE MISSION TO TANZANIA
David Bilingsby, Head of the UK Trade & Investment (UKTI) London/South East Trade Mission to Tanzania fields questions from journalists during a press conference held yesterday at Serena Hotel. On his left is Bikash Dawahoo, Regional Economics Advisor (Photo courtesy of the British High Commission).
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...